Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) inawatarifu wakazi wa jiji la Mwanza kuwa imeingia katika mfumo wa malipo ya serikali GEPG: katika mfumo huo wateja wanatakiwa kulipa kwa kutumia namba maalumu ya malipo (control number) yenye tarakimu kumi na mbili (zikianzia na 9913xxxxxxx) click here