Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) inawatarifu wakazi wa jiji la Mwanza kuwa imeingia katika mfumo wa malipo ya serikali GePG; katika mfumo huo wateja wanatakiwa kulipa kwa kutumia namba maalumu ya malipo (control number) yenye tarakimu kumi na mbili (zikianzia na 9913xxxxxxx), ambayo mteja atakuwa anatumiwa kwa njia ya SMS kila mwezi pamoja na bili yake…. for more detail click here