Muonekano wa Mradi wa Maji wa Butimba 22 Machi, 2024; Unazalisha maji kiasi cha lita milioni 48 kwa siku
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Mwanza katika mradi wa maji Butimba
Muonekano wa Mradi wa Maji wa Butimba 09 Januari, 2024; Unazalisha maji kiasi cha lita milioni 48 kwa siku
MWAUWASA imeshiriki kwenye maonesho ya NaneNane Mwaka 2023 kwenye viwanja vya Nyamhongolo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ilipofanya ziara kwenye mradi wa maji wa Butimba Machi 29,2023
Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo, Mifugo na Maji ilipotembelea mradi wa Butimba; Januari 13, 2023
Watumishi wa MWAUWASA wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Butimba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika picha ya pamoja na Menejimenti ya MWAUWASA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Butimba
Washirika wa maendeleo wakijadili hatua za utekelezaji wa miradi ya maji inayotekelezwa kupitia Programu ya LV WATSAN
Muonekano wa mradi wa maji wa Kyaka/Bunazi ambao utekelezwaji wake umesimamiwa na MWAUWASA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji Kyaka- Bunazi Wilayani Misenyi Mkoani Kagera 09 Juni, 2022
Malipo ya Serikali yanafanyika kwa "Control Number" kupitia Benki, Wakala wa Benki ama Mitandao ya simu
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 8 Machi, 2022
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya MWAUWASA walipofanya ziara kwenye mradi wa maji wa Kyaka Bunazi
Epuka kutupa Taka ngumu kwenye Mfumo wa Majitaka
Mwenyekiti wa MWAUWASA, Christopher Gachuma akizungumza wakati wa Kikao na Wadau wa Maji
Ziara ya Wadau wa Maji kwenye Chanzo cha Maji cha Capripoint
Jiunge na Mtandao wa majitaka
The Headquarter of Mwanza Urban Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA)
Moja ya tenki la maji lililojengwa eneo la Mjimwema kupitia Mpango wa Uboreshaji wa Huduma ya Maji na Usafi wa Mazingira katika Jiji la Mwanza lengo likiwa ni kuongeza upatikanaji wa huduma