How to pay your bill with vodacom m-pesa

Jinsi ya kulipia bili yako ya maji ya MWAUWASA kwa Vodacom M-Pesa
* Hakikisha unaweka kwanza pesa kwenye akaunti yako ya M-Pesa

1. Piga *150*00# kupata orodha ya  M-Pesa

 

 

2. chagua malipo

 

3. Ingiza namba ya Biashara 444777

 

4. Ingiza namba yako ya akaunti ya Mwauwasa

 

 

5. Weka kiasi cha pesa

 

 

6. Usishirikiane na yeyote namba yako ya siri (PIN)

 

7. Kisha bonyeza 1 kuhakikisha au bonyeza 2 kubatilisha