Katika picha ni Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso (MB)na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Edriss Mavura alipowasili Jijini Seoul kwa mualiko maalum wa Benki ya Exim
Waziri wa maji Mhe. Jumaa Aweso akifungua mkutano wa wataalam wa Rasilimali watu, utawala, maendeleo ya jamii, mawasiliano na uhusiano wa sekta ya maji Novemba 14, 2024 katika ukumbi wa NSSF
Wanafunzi wa Shule ya Msingi "Pope John Paul II Memorial" iliyopo Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara walipofanya ziara ya mafunzo katika Mradi wa maji Butimba - MWAUWASA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya (kulia) alipotembelea Ofisi za NEMC Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Lilian Lukambuzi (katikati) Novemba 15
Wanafunzi wa shule ya msingi Sahara wakifurahi baada ya kupatiwa elimu ya usafi wa mazingira na Maafisa kutoka MWAUWASA
Wataalamu wa maabara ya ubora wa maji wakihakiki sampuli za maji yanayozalishwa katika chanzo cha maji cha Butimba kujiridhisha na ubora wake kabla ya kuwafikia wananchi.
Kaimu mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya akisalimiana na Wadau wa Maendeleo kutoka Ulaya walipokutana kujadili utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji huduma ya maji na Usafi wa Mazingira
Watumishi wa MWAUWASA wakifuatilia hotuba ya Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso alipotembelea Makao makuu ya MWAUWASA na kuzungumza na Watumishi Septemba 2024
Mwenyekiti wa Bodi ya MWAUWASA Christopher Gachuma (wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya na Wabunge wa Majimbo ya Nyamagana na Magu wakiwa katika Mradi
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda akipata maelezo kuhusu Mradi wa Maji Butimba alipotembelea Mradi huo Mei 2024
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Viongozi wa MWAUWASA wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Neli Msuya, wakikagua Pa
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Viongozi wa MWAUWASA walipotembelea kukagua Mradi wa Dharura wa maji wa Sahwa - Buhong
Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 08, 2024
MWAUWASA katika Maonesho ya sikukuu ya wakulima "Nanenane" Viwanja vya Nyamhongolo Agosti 2024
Muonekano wa Mradi wa maji Butimba Oktoba 2024 unaozalisha Lita Milioni 48 kwa siku
Muonekano wa Mradi wa maji Butimba Oktoba 2024 unaozalisha Lita Milioni 48 kwa siku
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji MWAUWASA, Neli Msuya akishiriki zoezi la maboresho ya miundombinu ya maji Kanindo- Kishiri 21/05/2024
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Mwanza katika mradi wa maji Butimba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika picha ya pamoja na Menejimenti ya MWAUWASA
Muonekano wa mradi wa maji wa Kyaka/Bunazi ambao utekelezwaji wake umesimamiwa na MWAUWASA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji Kyaka- Bunazi Wilayani Misenyi Mkoani Kagera 09 Juni, 2022
Malipo ya Serikali yanafanyika kwa "Control Number" kupitia Benki, Wakala wa Benki ama Mitandao ya simu
Epuka kutupa Taka ngumu kwenye Mfumo wa Majitaka
Jiunge na Mtandao wa majitaka
The Headquarter of Mwanza Urban Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA)