2. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (katikati kulia) akimkabidhi nyaraka za makabidhiano ya Ofisi Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele (kushoto). Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi MWAUWASA, Christopher Gachuma (wa pili kushoto) na Makamu wake, Edith Mudogo (wa kwanza kulia).