4. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi, Christopher Gachuma (nyuma katikati) na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi MWAUWASA mara baada ya kukabidhiwa rasmi Ofisi.