5. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga akizungumza na wafanyakazi wa MWAUWASA (hawapo pichani) mara baada ya kukabidhi Ofisi. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi, Christopher Gachuma (katikati) na Wajumbe wa Bodi ya MWAUWASA.