6.  Baadhi ya wafanyakazi wa MWAUWASA wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao mara baada ya kukabidhi Ofisi. Awali Mhandisi Sanga alikuwa Mkurugenzi Mtendaji MWAUWASA.