Baadhi ya Wafadhili wa mradi wa maji wa Lamadi na Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo mara baada ya kushuhudia uwekaji wa Jiwe la Msingi la mradi huo Septemba 08, 2018.