Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Emmanuel N.M Kalobelo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washirika wa maendeleo wanaohusika na utekelezaji wa miradi ya maji kupitia Programu ya Uboreshaji wa Huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ijulikanayo kama LV WATSAN.