Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa na viongozi wengine wakisikiliza maelezo ya mradi wa maji wa Nansio Ukerewe yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Anthony Sanga.