Waziri wa maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack kamwelwe(mb) akikagua mfumo rahisi wa uondoaji majitaka (Simplified sewerage system) eneo la mlima wa kilimahewa. Nyuma yake ni katibu mkuu wa Wizara ya maji na umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo, Mkurugenzi Mtendaji wa Mwauwasa Eng Anthony sanga na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.