Oparesheni Kata Maji

Posted On: Feb 11, 2020


Wateja wetu wote wenye madeni ya maji mnatangaziwa kwamba Oparesheni Kabambe ya kukata maji ipo mtaani Hakikisha unalipa deni lako kabla ya kukutwa na Oparesheni hii kwani utasitishiwa huduma na utapaswa kulipa Ada ya kurejeshewa huduma.

Lipa sasa, kuepuka kusitishiwa huduma.

Oparesheni Kata Maji Mtaani kwako