News

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI YARIDHISHWA NA UFANISI WA MRADI WA MAJI WA BUTIMBA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeridhishwa na ufanisi wa mtambo wa kuzalisha na kutibu maji wa Butimba Mkoani Mwanza na imepongeza jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Maji kwa kufanikisha mradi huo. Read More

Posted On: Mar 25, 2024

HUDUMA IMEIMARIKA IGOMBE

Wakazi wa Igombe Kata ya Bugogwa wamefurahishwa na huduma ya majisafi na salama itolewayo na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). Read More

Posted On: Mar 08, 2024

MAKABIDHIANO YA VYOO SHULENI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imekabidhi Majengo ya vyoo kwa shule za Msingi 11 pamoja na Hospitali Nne katika wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza kwa lengo la kuimarisha hali ya usafi wa Mazingira katika taasisi hizo. Read More

Posted On: Mar 08, 2024

MWAUWASA YAHIMIZA WANANCHI KUJIUNGA NA MTANDAO WA UONDOSHAJI MAJITAKA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) inaendelea kutoa hamasa kwa Wananchi waishio maeneo yenye Mtandao wa uondoshaji Majitaka kujiunga ili kuimarisha Usafi wa Mazingira katika Makazi yao na Jamii inayowazunguka. Read More

Posted On: Mar 08, 2024

SEMINA KWA WAENDESHA MITAMBO WA MWAUWASA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Ndg. Neli Msuya amewaasa watumishi kutekeleza majukumu yao kwa weledi na ufanisi ili kufikia malengo na dhamira ya Serikali ya Kumtua Mwanamke ndoo ya maji kichwani. Read More

Posted On: Mar 08, 2024

QUICK WIN BUSWELU 90%

​Utekelezaji wa Mradi wa Matokeo ya haraka "Quick Win " eneo la Buswelu Kahama na Nyamadoke umefikia asilimia 90% huku baadhi ya Wakazi wa maeneo hayo wakiwa tayari wameanza kunufaika na Mradi huo. Read More

Posted On: Feb 21, 2024