Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Dkt. Severine Lalika (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele wakati wa ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa tenki la maji Buswelu
Tenki la maji la Igelegele linahudumia wakazi wa Bugarika, Mlalahansi, Bendera Tatu, Igelegele, Nyakurunduma, SOS Village, Igogo, Mahina Mashariki na Mabumbani
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga (kushoto) akitoa maelekezo ya ukamilishwaji wa mradi wa Nyamtukuza Wilayani Nyang’hwale, MWAUWASA ni miongoni mwa taasisi zitakazoshiriki
Ujenzi wa tenki lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni mbili za maji katika Mji wa Ngudu, Wilayani Kwimba ukiendelea na unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella alipofanya ziara kwenye wa ujenzi wa tenki la maji Ngudu, Wilayani Kwimba. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi, Leonard Msenyele (kushoto) akikabidhiwa vitendea kazi na aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo wakati wa uzinduzi wa Bodi
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele (kulia) na Mhandisi Mradi wa Kampuni ya CCECC, He Jun wakisaini mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji wa Kyaka-Bunazi
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele (kulia) akipokea Cheti cha Ushindi kutoka kwa Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Ziwa
The Headquarter of Mwanza Urban Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA)
Ujenzi wa tenki la maji la Nyegezi Majengo Mapya umekamilika
Moja ya tenki la maji lililojengwa eneo la Mjimwema kupitia Mpango wa Uboreshaji wa Huduma ya Maji na Usafi wa Mazingira katika Jiji la Mwanza lengo likiwa ni kuongeza upatikanaji wa huduma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa wakimsikiliza, Eng. Sanga
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Eng. Anthony Sanga (wa pili kushoto) akimkabidhi nyaraka za makabidhiano ya Ofisi Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Eng. Leonard Msenyele