Chukua Tahadhari dhidi ya Corona

Posted On: May 28, 2020


Kumbuka kufuata maelekezo yanayotolewa na Wizara ya Afya ili kujikinga na maambukizi ya Covid 19. Corona ipo na inazuilika, chukua tahadhari