News

TUNAZINGATIA UBORA WA MAJI

Wataalam kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) wakifanya majaribio mbalimbali kwa ajili ya kuzingatia ubora wa maji yanayofika kwa wateja. Read More

Posted On: Sep 25, 2023

KAYA 1100 KUNUFAIKA NA MTAMBO WA IHILA B

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imefanya majaribio katika mtambo wa kusukuma maji Ihila kwa lengo la kupima ufanisi wake. Read More

Posted On: Sep 22, 2023

MWAUWASA KAZINI UBORESHAJI MIUNDOMBINU

​Watumishi kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) wakifanya tathmini (survey) eneo la Kishiri ikiwa ni hatua ya maandalizi kabla ya kuanza kwa zoezi la kupanua na kuboresha mtandao wa huduma ya maji. Read More

Posted On: Sep 22, 2023

MAPAMBANO DHIDI YA UPOTEVU WA MAJI

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)wakifanya matengenezo katika bomba la inchi 6 katika Mtaa wa Igogo Azimio. Read More

Posted On: Sep 22, 2023

BULOLA B NA BUSENGA KUBORESHEWA HUDUMA YA MAJI

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza ,(MWAUWASA) wakiendelea na kazi ya kuunganisha mabomba ya inchi 4 katika mitaa ya Bulola B na Busenga Read More

Posted On: Sep 22, 2023

​MWAUWASA KUBORESHA HUDUMA YA MAJI NYEGEZI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imekabidhi shehena ya mabomba yenye urefu wa Km 2 kwa uongozi wa uongozi wa mtaa wa Ng'washi, Kata ya Buhongwa ikiwa ni sehemu ya jitihada za Mamlaka za kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa jiji la Mwanza, Read More

Posted On: Sep 22, 2023